Isaiah 7:15-16

15 aAtakula jibini na asali atakapokuwa ameweza kukataa mabaya na kuchagua mema. 16 bLakini kabla mtoto hajajua kukataa mabaya na kuchagua mema, nchi ya wafalme hao wawili unaowaogopa itafanywa ukiwa.
Copyright information for SwhKC